JESHI LA POLISI MKOANI MARA LINAWASHIKILIA WATU WATATU KWA TUHUMA YA KUMILIKI SILAHA KINYUME NA SHERIA

comments
                    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Kamishina Msaidizi Absalom Mwakyoma

Watu watatu wakazi wa kijiji cha motukeri katika wilaya ya Serengeti Mkoani Mara,akiwemo raia wa nchi ya Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi  kwa tuhuma za kukamatwa na bunduki aina ya smg Fn na risasi 96 kinyume cha sheria.


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara  kamishina msaidizi  Absalom mwakyoma amethibitisha kukamatwa kwa watu hao ambao amewataja  kuwa ni  sabasaba makuru kambarage (31),Timothy Bernad omoke (20) raia wa Kenya na pius mayengo sengeka( 43) wote wakiwa wakazi wa kijiji hicho kilicho kata ya nata wilayani Serengeti.
Kamanda Mwakyoma amesema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa octoba 23  majira ya saa mbili na nusu usiku mwaka huu katika kitongoji cha mageriga nyumbani kwa mtuhumiwa wa kwanza sabasaba wakimiliki silaha hiyo ya kivita  kinyume cha sheria
Amesema kuwa Maafisa wa polisi wakishirikiana na maafisa wa shirika la hifadhi Taifa (TANAPA)siku ya tukio baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema walifanya msako na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao wakiwa na vipande 10 vya nyama kavu  ya  pori ,mikia sita ya nyumbu na mayai mawili na maganda mawili ya mayai ya mbuni kinyume cha sheria ambapo thamani ya nyara hizo hajafahamika.
“ Polisi wakiwa katika msako mkali wa kuwasaka wahutumiwa hao walifika kijijini hapo majira ya saa mbili na nusu usiku ndipo waliwakuta ndani ya nyumba hiyo walimokuwa wakihifadhi nyara hizo na kisha kufanikiwa kuwakamata”alisema kamanda mwakyoma.
Inadaiwa kuwa bunduki hiyo imekuwa ikitumika kuulia wanyama pori na wakati mwingine vitendo vya uharifu sehemu mbalimbali hapa nchini na kuhatarisha usalama  na maisha ya wananchi pamoja na mali zao.
Kamanda alisema kuwa  upelelezi utakapo kamilika watuhumiwa watafikishwa mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria na ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi  kufichua na kuwataja  waharifu.comments
Sitabai Chouan akiwa Hospitali 
Mwanaume mmoja wa nchini India ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa aliutoboa uke wa mkewe na kuufunga kwa kufuli kila alipokuwa akimuacha peke yake huku funguo za kufuli hilo akitembea nazo akiwa amezificha kwenye soksi anazovaa.

 Kwa miaka minne iliyopita, Sohanlal Chouhan, mwanaume mwenye umri wa miaka 38 wa Indore, India alikuwa akiufunga kwa kufuli uke wa mkewe kila alipokuwa akienda kazini ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa.

Kwa mujibu wa polisi, uchunguzi wa polisi ulianzishwa mwezi julai mwaka huu wakati mke wa Sohanlal aliyejulikana kwa jina la Sitabai Chouhan, alipowahishwa hospitali ili kuokoa maisha yake kufuatia jaribio lake la kujiua kwa kunywa sumu ya panya.

Madaktari walikuwa wanajiandaa kuingiza mrija kwenye sehemu za siri za Sitabai ili kusaidia kunyonya sumu ya panya toka kwenye mwili wake wakati walipogundua kuwa uke wake ulikuwa umefungwa kwa kufuli.

Iligundulika kuwa Sohanlal Chouhan alianza kuliweka kufuli kwenye sehemu za siri za mkewe miaka minne iliyopita kwa kuhofia mkewe angemsaliti na kutoka nje ya ndoa.

Wapelelezi walisema kuwa Sohanlal alifanikisha zoezi lake la kuweka kufuli kwenye uke wa mkewe kwa kumlewesha mkewe na kisha kutumia sindano kutoboa matundu mawili kwenye kuta mbili za uke.

Kufuli dogo lilipitishwa kwenye matundu hayo na lilikuwa likifungwa kwa ufunguo kila siku asubuhi wakati Sohanlal alipokuwa akitoka kuelekea kazini.

Kwa kuwa siku zote Sohanlal alikuwa akiondoka na funguo za kufuli hilo, madaktari walishindwa kumpatia tiba ya kutosha hadi mumewe alipolazimishwa atoe funguo ili kulifungua kufuli hilo.

Polisi walisema kuwa Sohanlal alikuwa ameificha funguo ya kufuli hilo kwenye soksi wakati alipokamatwa na kutiwa mbaroni.

Sohanlal amekiri kosa lake akidai kuwa alilazimika kufanya hivyo kwakuwa wanawake wengi kwenye familia yake walikuwa si waaminifu kwenye ndoa zao.

Sitabai ambaye amefanikiwa kuzaa watoto watano na Sohanlal ilidaiwa kuwa aliamua kujiua baada ya kugundua kuwa Sohanlal alikuwa akiisaliti ndoa yao.

Sohanlal alitupwa rumande na kufunguliwa mashtaka ya kufanya shambulio la kudhuru mwili.

Chanzo: Nifahamishe

CHADEMA YATAKA MFUMO WA SHERIA KUSIMAMIA MABADILIKO

comments
Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema wakati umefika kwa nchi kuwa na mfumo wa kikatiba na sheria kwa ajili ya kusimamia mabadiliko kufanyika kwa amani ili kuepusha nchi kuingia katika vurugu na mkanganyiko wa kisiasa.

Mbowe alisema hayo jana wakati akizungumza na wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya uchaguzi mdogo kata za Mpapa, wilayani Momba na Myovizi, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya.

Mbowe alisema ingawa utaratibu huo unaweza kuonekana kuwa ni dhana mpya kutokana na umuhimu wake kwa ajili ya mustakabali mwema wa Taifa, ni vyema Watanzania wakaanza kuitafakari kisha wadai kuwepo kwa mfumo huo wa kikatiba na sheria.

Alitoa mfano nchi ya Ghana ilipitia katika misukosuko ya kisisasa kutoka utawala wa Jerry Lawrings kwenda kwa Kuffour wa chama cha NPP.

“Wenzetu wale walijifunza, walipoingia madarakani wakaamua kutunga sheria ya kusimamia ‘transition period’ kutoka uongozi wa serikali moja kwenda nyingine,” alisema Mbowe.

Alisema Watanzania wanaweza kujiuliza kwa nini Marekani inachukua siku 72 kwa Rais kuapishwa na kukabidhiwa rasmi mamlaka ya kuongoza nchi, tangu achaguliwe ni kwa sababu kuna vitu  muhimu sana vya  kusimamiwa na kufanyiwa kazi kabla utawala mpya haujakabidhiwa Ikulu.

Alisema ni hatari kwa nchi kama Tanzania ambayo sasa inapitia kwenye wimbi kubwa la mabadiliko ya kisiasa, kukosa mfumo huo wa kuhakikisha mabadiliko ya mpito kutoka utawala wa serikali moja kwenda nyingine yanafanyika kwa amani na kulinda maslahi ya nchi bila vurugu.

“Ni muhimu kuwa na sheria itakayohakikisha ‘transition’ ya kutoka serikali ya chama fulani kwenda chama kingine au serikali moja kwenda serikali nyingine, kufanyika kwa amani na kwa kuhakikisha maslahi ya umma na nchi yanazingatiwa,” alisema.

 Aliongeza kuwa hapa nchini kuna mfano mzuri wa madhara ya kukosekana kwa sheria hiyo ya kusimamia kipindi cha mpito na kwamba wizi mkubwa wa kashfa ya wizi uliofanyika Benki Kuu kabla Rais aliyechaguliwa hajaapishwa na watu walitumia fursa hiyo mabilioni ya fedha katika benki hiyo.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, alikumbushia namna ambavyo sehemu ya mabilioni ya ufisadi wa fedha za malipo ya madeni ya Nje (EPA) yalihamishwa Desemba 31, 2010.Chanzo: IPP MEDIA


YAFAHAMU MAMBO 10 AMBAYO MSICHANA HAPENDI KUTENDEWA NA MPENZI WAKE

comments
Me end U
1. When she sees her boyfriend talking to othr girls.. and the girl starts flirting...!

2. when her boyfriend n her r txting/instant messaging n the guy doesnt txt her/msg her back fast enough...!

3. when her boyfriend has the same class as her n he ignores her n hangs out with othr friends...!

4. when she sees her boyfriend checking out othr girls
while she's with him...!

5. when she has to wait outside the movie theaters looking like a loner while she waits for her boyfriend that's 20 minutes late...!

6. when her boyfriend acts like hes going to break up with her... he doesnt even have to act... its a vibe...!

7. when she holds her hand out for her boyfriend to hold, and he just keeps walking...!

8. when her boyfriend acts like he is going to get her something special n he was jst suggesting something... so she has to buy it herself...!

9. when her boyfriend does not care abt her 1 week, 1 month, 1 year anniversary. n evrything in between.. thy r all special to her...!

10. when she tells her boyfriend she loves him.n he says he loves her back, only bcoz he wants to get into her pants..!ZIFAHAMU NJIA ZA KUPATA MTAJI WA BIASHARA

comments
Njia za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yako. Swali, wapi utapata huo mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji wa biashara.
Mali binafsi
  1. Shamba, fedha, nyumba, gari, mifugo, mazao nk
  2. Mkopo:-
Mkopo kutoka kwa:
 1. Marafiki, ndugu, jamaa, serikali
 2. Taasisi za kukopesha kama pride, seda, faida, best, finca
 3. Benki nk.
a) Masharti ya mkopo
- Dhamana kama vile nyumba, arthi, mazao, kikundi n.k.
- Mchanganuo wa biashara
- Biashara inayo endelea(<miaka 3)
- Kuwepo kwa ofisi kama ni mkopo mkubwa zaidi ya milioni 3
- Biashara iliyosajiliwa kam ni biashara kubwa
- Riba ya mkopo
- Kiasi cha mkopo na uwezo wa mkopo
- Muda wa kurudisha mkopo na riba
Vyanzo vya kukopa mabenki, mashirika binafsi Kama vile SEDA, PRIDE, FINCA n.k
 1. Kibati ; mfano, Mtaji ni unaotakiwa ni ni Tshs100,000 watu 10 mnaweza kuzungusha 10,000 miongoni mwenu kila mwezi, kila mtu atapata mtaji wa Tshs100,000 ndani ya mwaka.
 2. SACCOS( chama cha kuweka na kukopa)
 3. Kudunduliza ( banki ya kopo). Mfano; Mtu moja aliyekuwa mlevi alikuwa akitumia Tshs 5,000 kila siku kunywa pombe. Alikata shauri ya kuacha pombe na kudunduliza Tshs 5,000 kila siku kwa muda wa mwaka 1 na akaweza kujenga nyumba ya kisasa yenye vyumba 2 na sebule.
 4. Kuafanya harambee (fund raising)
 5. Kuuza hisa
 6. Msaada kutoka mashirika yasiyo ya kiserkali, watu binafsi, mashirika binafsi na taasisi za kiraia

MWANAUME MMOJA WILAYANI BUNDA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA YA KUMTOROSHA MWANAFUNZI NA KUMZALISHA WATOTO WAWILI

comments

MWANAUME mmoja anayetuhumiwa kutorosha mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibara, iliyoko wilayani Bunda, mkoani Mara, kwa zaidi ya miaka mitatu, amekamatwa na kufikishwa katika mahakama ya wilaya ya Bunda, akiwa tayari amekwishamzalisha mwanafunzi huyo watoto wawili.

Mwanaume huyo Joel Joseph, amekamtwa juzi mjini Musoma, wakati akiwa ndani ya daradara baada ya kuwekea mtego na mzazi wa mwanafunzi huyo, mwalimu Eward Masatu.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumtorosha mwanafunzi huyo aitwaye Nyafwele Edward au Edina Edward, aliyekuwa anasoma kidato cha tatu katika shule ya sekondari Kibara, na kuishi naye kama mke wake, tangu mwaka 2009.

Imeelezwa kuwa Novemba 18, 2009 mtuhumiwa pamoja na mwanafunzi huyo, wote walikamatwa na kufikishwa katika kituo kidogo cha polisi Kibara, lakini kesho yake wakatoroka katika mazingira ya kutatanisha na kwamba walikuwa wakiishi katika miji mbalimbali ikiwemo Musoma, Tarime, Mwanza na Kahama.

Mwalimu Masatu amesema kuwa kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kumetokana na mtego wake aliouweka, baada ya mtoto wake kupata ujauzito wa pili na kurejea nyumbani kwao kwa ajili ya kujifungua huku akimuomba mzazi wake amsamee.

Amesema kuwa baada ya binti yake kumuomba radhi alimkubalia na baada ya kujifungua walianza kumfuatilia mwanaume huyo, ambapo juzi alikamatwa na jana akafikisha katika mahakama ya wilaya ya Bunda, mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Safina Simfukwe.
Mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo, Bw. Masuod Mohamed, baada ya kumsomea mashitaka yake, mtuhumiwa huyo alikana na amepewa dhamana baada ya kudhaminiwa na watu wawili, ambapo kesi yake itatajwa tena novemba 16, mwaka huu.
Chanzo:Ahmed makongo, Bunda

UMUHIMU WA KUANDAA BAJETI KWA MTU, KAYA, FAMILIA, SERIKALI MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI

comments: 1
Ni jambo la kawaida kwa watanzania kutojua umuhimu wa bajeti katika maisha yetu ya kila siku, na tunashindwa kujioji kama mapato yetu yanaendana na matumizi hata katika ngazi ya kaya au familia au mtu mmoja mmoja.

Katika hali ya kawaida tumekuwa na matumizi makubwa kuliko kipato tunachokipata na hii inatokana na ukweli kwamba watu wengi hawazingatii bajeti wanafikiri bajeti ni kwa ajili ya serikali, makampuni na taasisi wakisahau kuwa mtu anaweza kujiwekea bajeti katika maisha yao ya kila siku.

Leo katika ujasiliamali nahitaji ufahamu kuna umuhimu gani wa kutengeneza bajeti kuanzia ngazi ya mtu, kaya au familia, makampuni makubwa, serikali pamoja na taasisi.

Bajeti: Ni mpango unaonyesha kiasi cha pesa, rasilimali kinachopangiliwa kwa ajili ya kutumika.Kuna aina mbalimbali za bajeti ambazo zinatofautiana kwa tafasiri na utekelezaji.

Ili mtu au taasisi pamoja na serikali iweze kufanikiwa katika maisha ni lazima kutengeneza na kufuata kanuni na kuzingatia mipango utakayoainisha katika bajeti.

UMUHIMU WA BAJETI:

1.Bajeti inatusaidia kukadiria mapato na matumizi

2.Bajeti inasaidia kuangalia mapato halisi yanayoweza kutumika katika shughuli unayokusudia kuifanya

3.Bajeti inatusaida kuangalia uhalisia wa gharama za uendeshaji wa mradi.

4.Bajeti inatusaidia kudhibiti matumizi ya rasilimali.

5.Bajeti inasaidia kutoa hamasa ya motisha kwa wafanyakazi walioko katika kazi/mradi.

6.Bajeti inasaidia kuleta karibu utendaji kazi katika mradi.

Kama unahitaji kufanikiwa katika kazi zako, kufanikisha mradi unaotarajia kuufanya jaribu kuandaa bajeti ambayo itagusa mambo haya muhimu ambayo nimejaribu kuyaainisha hapo juu.

Baadhi ya watu wamekuwa wakiandaa bajeti lakini wamekuwa wakishindwa kuzitekeleza kutokana na kuhamisha pesa toka kwenye kipengele kimoja kwenda kingingine wataalamu wanashauri ni vyema ukaheshimu bajeti uliyotengeneza katika utendaji kazi.

Kwa wale vijana wenzangu ni vyema tukapanga bajeti katika maisha yetu ya kila siku ujue unaingiza shilingi ngapi kwa siku/mwezi na tunatumia shilingi ngapi kwa siku katika ngazi ya familia na je matumizi na mapato yanaendana? kama sio chukua hatua sasa badilika.

MREMBO KUTOKA MARA ATINGA FAINALI ZA REDD'S MISS TANZANIA

comments


 Mkoa wa Mara umeendelea Kufanya vyema katika mashindano ya ulimbwende mwaka huu baada ya mwakilishi wa mkoa kufanya vyema tena na kuingia katika fainali zashindano la Urembo la Redd's Miss Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa toka kwa bwana Godsos Mukama ambaye ndie mwandaji wa shindano la Miss Mara kupitia kampuni yake ya Homeland Entertainment amesema mrembo kutoka Mkoani Mara ambaye pia anashikilia Taji la Urembo Kanda ya Ziwa (Miss Lake Zone) amefanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye Fainali za Shindano la Urembo (Redd's Miss Tanzania) Baada ya kuteuliwa kuwa Balozi Naura Spring Hotel
 
katika Shindano dogo la kumtafuta Top Model lililofanyika usiku wa siku ya Jumamosi Jijini Arusha katika Hotel ya Naura Spring. Eugenia pia ni Balozi wa Barrick North Mara Kampuni inayojishughulisha na Uchimbaji wa Dhahabu Mkoani Mara.
 
 
 
 

Huyu ndie Bwana Godsos Mukama ambaye kwa miaka yote amekua akiandaa mashindano ya Miss Mara na kuwatoa washiriki mpaka ngazi ya Taifa. Hapa akiwa katika mapumziko aki show love!


Tuna imani mwanadada huyu atafanya vyema katika ngazi ya Taifa na mkoa wa Mara Tuweze kuandika Historia kwa Mara ya kwanza kutwaa taji la miss Tanzania.


BIBI WA MIAKA 92 ANA MIMBA YA TANGIA MWAKA 1948 MPAKA LEO

comments
Bibi Huang akionyesha Mimba yake
Bibi wa miaka 92 ambaye alipata mimba wakati wa ujana wake miaka 60 iliyopita anaingia leba kwaajili ya kujifungua mtoto huyo baada ya miaka yote hiyo kupita.


Huang Yijun hivi sasa akiwa na umri wa miaka 92 alienda hospitali baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo ndipo tatizo lake lilipowaacha madaktari midomo wazi.

Daktari aliyemfanyia uchunguzi bibi huyo alipigwa na butwaa baada kugundua kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 92 alikuwa ana mimba.

Huang alizidi kumpagawisha daktari huyo baada ya kutoa maelezo ya mimba hiyo.

Huang alisema kuwa mwaka 1948 alipokuwa na ujauzito mtoto wake alifia tumboni. Baada ya kutakiwa atoe dola 150 na hospitali aliyopelekwa ili kukitoa kiumbe hicho tumboni, Huang alikataa kutoa kiasi hicho cha fedha na kuamua kurudi nyumbani kwake.

Kwa kupuuzia kutoa kiumbe hicho alichokuwa nacho tumboni Huang alinyamaza kimya bila kuwaambia ndugu zake kwa miaka yote hiyo.

Ukweli wa mambo umekuja kujulikana baada ya miaka 60 baada ya bibi huyo kuzidiwa na maumivu makali ya tumbo.

"Katika miaka yangu 40 ya udaktari wangu sijawahi kukutana na jambo kama hili, kiumbe kilicho tumboni inabidi kiondolewe haraka iwezekanavyo, kwa muda wote huo Huang kuwa hai pia ni muujiza mwingine"alisema daktari wa bibi huyo.chanzo:Nifahamishe
   

Mfahamu Mwalimu Mlemavu wa Mikono Anayefundisha Kwa Kutumia Miguu

comments
Mwalimu Akitumia Mguu Kuandika


Mwanamke wa nchini Marekani ambaye alizaliwa akiwa hana mikono ameonyesha changamoto kwa watu kwasababu ya vilema vyao hawawezi kufanya chochote kwa kuweza kuajiriwa kazi ya ualimu akifundisha wanafunzi kwa kuandika ubaoni kwa kutumia miguu yake.


Mary Gannon, amejiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi kwenye shule ya Lakewood iliyopo Ohio nchini Marekani.

Tofauti na walimu wenzake, Mary anatumia miguu kuandika ubaoni na pia anatumia miguu kuandaa ripoti kwenye computer akitumia vidole vya miguu yake kuandika kwa kutumia keyboard ya kompyuta yake ya ofisini.

Mwalimu Mary ambaye hufundisha somo la hisabati na sayansi alizaliwa nchini Mexico akiwa hana mikono na alilewa kwenye kituo cha kulea yatima mpaka familia moja ya nchini Marekani ilipojitolea kumchukua na kumlea.

Mary alianza kazi kwenye shule hiyo mwaka jana kama mwalimu wa akiba lakini hivi sasa amejiriwa kabisa akifundisha wanafunzi wa darasa la saba na la nane,

Mbali ya kutumia miguu yake kufundishia, Mary pia anaendesha gari lake kwa kutumia miguu.


 Ni vyema jamii ikawapa nafasi watu wenye ulemavu kujishughulisha katika jamii pia hapa nchini Tanzania pia tunaitaji kuwaona walemavu wakiajiliwa katika kazi mbalimbali, huduma zinaboreshwa kama vile Vyoo, Huduma za Kibenki, Usafiri na pia Elimu.Kwa hapa Musoma Elimu kwa watu wenye ulemavu inatolewa pale Lake Victoria Disability Centre jirani na Tanesco.

Chanzo: Nifahamishe
comments
Je Unahitaji Kuwa Mjasiliamali

Yafahamu Maswala saba unayostahili kufahamu kabla ya kuanza biashara Yako

 1. Uza kile wateja wako wanataka: 
  Usiangazie tu kile unachotaka. Usipotafakari kuhusu wateja wako,kuna uweza wa kutonunua bidhaa yako. Hakikisha unatafiti soko ili kujua kama huduma au bidhaa yako ni ya maana na nafuu kwa uwezo wa wateja.
 2. Andika mpango wa biashara: 
  Hii ni njia moja ya kuwavutia wawekezaji na watoa huduma za kifedha kwa biashara yako. Mpango mzuri wa biashara pia hukusaidia kuweka rekodi zilizo na maelezo zaidi kuhusu ruwaza na malengo yako. Andikda mpango wa biashara.
 3. Uujue uwezo wako: 
  Angazia sana sana yale unayoyafanya vizuri na uwache mengine. Hustahili kujua majibu yote wala kukusanya maswala yote .Kuwa mwaminifu kwa yale unayoweza kutekeleza na yale usiyomudu kutekeleza. Kumbuka, ni vizuri kuomba msaada iwapo hujui kitu Fulani.
 4. Fanya utafiti wako: 
  Tumia madarasa, hafla au semina, vitabu na kanda ili kujifunza yale unayoweza kabla hujaanza biashara.Kama hujui chochote kuhusu uendeshaji wa biashiara, kuna mafunzo mengine ya malipo ya chini, vitabu na kanda.Jaribu maktaba ya mahali pale unapoishi ama hifadhi ya vitabu, na uulize yale yote usiyoyafahamu kuhusu soko, nguvu na uwezo wako, mahali halisi na yale watu wanataka.
 5. Tegemea juhudi zako: 
  Unahitaji kuwa macho katika bajeti yako, la sivyo, utaishia katika madeni makubwa ama utoweke kutoka biasharani haraka sana. Kama huwezi kupata kila kitu unachokiitaji sasa hivi, wachana nacho na ufikirie zaidi kuhusu mpango wako.
 6. Unda mpango wa mauzo: 
  Hili ndilo swala nyeti la kuwavutia wateja wako. Toa ramani ya jinsi ya kupata wateja wa kutumia bidhaa au huduma yako na namna utakavyowasawishi warejee. Unastahili kujiuza ili watu wakujie.
 7. Huwezi kushughulikia biashara peke yako: 
  Unapokuwa na watu wengi wa kukusaidia na vitu “vidogovidogo”,ndivyo utakavyochukua muda mwingi kunawiri biashara yako. Usiogope kuomba usaidizi na ushauri kutoka kwa rafiki zako na hata watu wa familia.

comments
Uwanja wa ndege Mwanza

KIKAO Cha Kamati ya Ushauri  ya Mkoa wa Mara imeutaka Mkoa wa Mwanza
kuacha kabisa  mchakato wa kubadilisha jina la Uwanja wa Ndege wa
Mwanza na Kuitwa jina la Serengeti International Airport.

Mjadala huo uliibuka hivi karibuni katika kikao cha kamati ya Ushauri
ya Mkoa huo ambapo lilijadiliwa na kutaka kuita jina hilo katika
uwanja wao wa ndege wa kimataifa wa mkoa huo.

Baada ya kupata taarifa hiyo wajumbe wa kikao hicho waliamaki na kwa
sauti moja wameutaka mkoa wa Mwanza kuacha mara moja nia ya kulitumia
jina hilo na kuwataka watumie majina mengine kama vile la Victoria au
sangara.

Kauli hiyo ilipitishwa na wajumbe wa Kikao cha Ushauri wa Mkoa huo
baada ya kupitia taarifa ya ujenzi wa Uwanja wa Kisasa kutoka kwa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Kimulika Galikunga
ambapo alisema kuwa Halmashauri hiyo imeshampata mwekezaji ambaye
atajenga uwanja huo na kutumia jina hilo.

“Tayari tumempata mmoja wa wawekezaji ambaye ni wa kampuni ya Grumeti
Reserves ambaye aliomba kibali Serikalini cha kuweza kufanya biashara
pamoja na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa na kupata kibali
hicho mwaka 2006 na amweweka wazi kuwa atatekeleza ahadi hizo,”alisema
Galikunga.

Alisema kuwa shughuli za awaloi za zilishafanyika kwa kugharimiwa na
kampuni hiyo ni pamoja na kuhamisha wakazi waliokuwa karibu na eneo la
mradi huo ambapo jumla ya shilingi Milioni 400 walilipwa wakazi hao,
pamoja na kuhamishwa kwa shule ya msingi Burunga iliyopo karibu na
mradi.

“Upimaji wa eneo linalokusudiwa ulifanyika na kuwekewa mpaka na hivyo
kutambulika rasmi kuwa ni eneo maalumu kwa ajili ya mradi huo, na hati
miliki ya ardhi ilitolewa,”alisema.


Chanzo: Thomas Dominick, Musoma


JINSI YA KUPATA MTAJI NA NAMNA YA KUTUMIA MTAJI KATIKA BIASHARA

comments

 

JINSI YA KUPATA MTAJI NA NAMNA YA KUTUMIA MTAJI KATIKA BIASHARA

MTAJI

Mtaji ni kitu chochote ambacho unaweza kutumia katika kuzalisha kitu kingine kwa lengo la kupata faida.Biashara oyote iwayo lazima ianze na mtaji. Kuna aina tano za mitaji kama ifuatavyo:-
1. Mtaji wa fedha( financial capital)
2. binadamu mwenyewe( human capital) vitu kama ujuzi, elimu na kufanya kazi kwa bidii.
3. Jamii ( social network capital) ushirikiano na watu wengine katika biashara
4. utamaduni halisi wa mjasiliamali- utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii,historia ya familia
5. fani au utaalamu  katika jambo flani

JINSI YA KUPATA MTAJI.

hapa tunaangalia vyanzo vya mtaji kwa mjasiliamali. Wajasiliamali wengi wanapata changamoto kubwa katika kupata mitaji ya kuanzishia biashara. nivigumu kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji wa kutosha,hivyo basi mtaji ni muhimu sana lakini mtaji pekeyake hautoshi kuanzisha biashara ni lazima uwe na elimu ya ujasiliamali ili uweze kufanikiwa katika biashara. kuna njia mbalimbali za kupata mtaji na njia hizo zimegawanyika katika mafungu mawili ambayo ni chanzo cha ndani na chanzo cha nje.

Chanzo cha ndani ( internal sources of capital)

1. Mtaji   toka kwa mjasiliamali mwenyewe. huu ni mtaji ambao mjasiliamali anakuwanao kabla hajaanza biashara. huu ni mtaji bora sana kwani humilikiwa na mjasiliamali mwenyewe na hatakiwi kurudisha rejesho hata baada ya kupata faida.
2. Mtaji ambao unapatikana wakati biashara injiendesha. faida inayopatikana katika biashara inaweza kutumika kama mtaji. njia hii ndio huchangia kukua kwa biashara.
3. hisa. baadhi yawajasiliamali wanaweza kuamua kuwekeza katika hisa za makampuni. uwekezaji katika hisa husaidia kupata mtaji pale ambapo kampuni litagawa faida kwa wanachama waliowekeza katika hisa. pia mjasiliamali anaweza kupata mtaji kwa kuuza hisa kwa mtu mwingine au muwekezaji wa nje.

chanzo cha nje ( external sources of capital)

hapa tunaangalia mtajia ambao mjasiliamali anaweza kuupata toka nje ya yeye mwenyewe. baadhi ya vyanzo    hivyo ni kama ifuatavyo.
1. mkopo toka benki
huu ni mkopo ambao ulipaji wake ni wa muda mrefu.viwango vyariba si vikubwa sana ambavyo mjasiliamali anaweza kumudu kulipa endapo biashara itafanikiwa. mikopo ya benki inahitaji dhamana ya vitu visivyo hamishika mfano nyumba, shamba nk. 
 
Chanzo:gjob.blogspot.com

SABABU 5 AMBAZO ZINAFANYA USIFIKIRIE KUOA AU KUOLEWA

comments
Zawadi kwa wapendanao muhimu


Why you’re single 1: You have an unrealistic checklist

If your list of favourable traits is more than a couple of points long, it might be time to start editing it. A tall, dark, handsome man who loves washing up and never forgets an anniversary? A lady with blonde hair and blue eyes who loves watching football games and cooking dinner every evening? Good luck with that. If you don’t want a smoker or someone with children, that’s fine – decide on these absolute non-negotiables, but then overlook the ‘not-too-sure-about-this-but-could-probably-live-with-it’ points. When searching for your idea of a perfect partner, there’s a good chance that you’re bypassing many wonderful potential partners who probably have special qualities that you’d never even thought of adding to your list before.

Why you’re single 2: You reveal too much, too soon

Of course dates are all about sharing information about yourself and getting to know each other, but when you feel the need to share all about your last breakup, the medication you’re taking and your family troubles, it’s probably going to put this potential new partner off.  While you’re hoping that your date is thinking “wow, he/she is really interesting” they’re more likely to be thinking something along the lines of “is this really something I’d like to be involved with?” While it’s good to reveal enough information to keep your date interested, it’s really not a good idea to reveal a year’s worth of information in just one night.

Why you’re single 3: You’re too clingy

If you’ve known each other for five  minutes yet you suddenly start calling her throughout the day to see what she’s up to or you drop by his guys’ night in because you wanted to check up on him, you’re heading for a dating disaster. If this is you then please do forgive us if we sound harsh, but you need to get a life. Your potential gentleman or lady friend will find it attractive if you have a life of your own. Having your own hobbies and interests shows that you’re an interesting, well-rounded person and gives you plenty to talk about when you are together. It’s scary for your other half to feel as though they are your whole world. One foot out of place and your whole world comes crashing down? Ouch – that’s a lot of pressure.

Why you’re single 4: You fall for the wrong type

Whether it’s a lady with three children and a law degree or a short gentleman with a passion for the great outdoors who loves animals, most of us have a ‘type’ of person that we tend to be attracted to. If you’ve had a few failed relationships though, it might be time to start rethinking your ‘type’. Do you always fall for the type who likes to ‘play the field’? Or the type who works so hard that you never see them? If this is the case and it’s never worked out, it might be time to re-evaluate what you’d like in a partner. The mistake that many people make is sticking to one specific ‘type’ and watching the relationship fail time and time again. Psychotherapist Jill Murray highlights that many failed relationships happen because we believe that we can take this person under our wing and eventually change or ‘tame’ them. If you feel like you need to change them, they’re probably not your type after all.

Why you’re single 5: Your negativity reflects on the outside

It doesn’t matter how nice you feel in your new clothes or how confident you are with your new haircut, if you’re feeling negative, it’s going to show on the outside. If you’ve been on a string of unsuccessful dates, there’s a good chance you’ll not have the most positive vibes about this one either. Just because your best friend’s girlfriend cheated on him or your parent’s relationship broke up when you were young, this does not mean that the dating scene is the devil’s playground. While you may still need to kiss a few more frogs before you find your prince or princess, if you end up coming across the partner of your dreams but you feel grumpy thoughout the date, it’s likely that you’ll end up giving off a bad impression. Approach your date with an open mind and you quadruple your chances of it being successful

Sorce: yahoo

AUKUMIWA KWENDA JELA WIKI 12 BAADA YA KUTUMA COMMENT KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK

comments
A man has been jailed for 12 weeks for making grossly offensive comments on his Facebook page about missing youngster April Jones.

Matthew Woods, 19, from Chorley, Lancashire, made a number of derogatory posts about April and missing Madeline McCann after getting the idea from Sickipedia - a website that "trades in sick jokes".
He also wrote comments of a sexually explicit nature about the five-year-old, who went missing last week from near her home in Machynlleth, mid Wales.
Chorley Magistrates' Court heard members of the public were so upset about his postings that they reported them to the police.

A "vigilante mob" of around 50 people later descended upon his home address in Eaves Lane and the defendant was arrested on Saturday night at a separate address for his own safety.
Martina Jay, prosecuting, said: "When interviewed by police he fully admitted he posted messages about the two missing children.
"He started this idea when he was at a friend's house when drinking, saw a joke on Sickipedia and changed it slightly.

"He said he did it in a bid to make people think his account had been hacked. He said it got out of hand and he was drunk while doing it."

He conceded to police that his Facebook account - available to a large number of people - had not been hacked and that he was responsible for all the postings made on October 3 and 4.
Unemployed Woods entered a guilty plea to sending by means of a public electronic communications network a message or other matter that is grossly offensive.

After meeting his client for the first time, defending solicitor David Edwards told the bench: "What struck me immediately is that the enormity of what he has done has finally sunk in.
"He did seem genuinely remorseful and regretful for what he had done."

The solicitor said Woods explained what had started as a joke had gone wrong.
"His future is uncertain. He does not know whether he can go back to his home address. He fully accepts he was the author of his own misfortune," Mr Edwards added.

He asked for a community service order to be considered but the bench was told that custody could be imposed for anyone who is convicted of using extreme language that causes substantial distress or fear to another..
 Source Yahoo

MWANAUME ANAWEZA KUWA NA DALILI SAWA NA MWANAMKE MJAMZITO MPAKA MWANAMKE ATAKAPOJIFUNGUA

comments
Mwanamke mwenye Mimba

Ni kawaida kwa wanawake wengi wakati wa ujazito kuanza kutapika , kuwa ni kichefu chefu ,kuhisi kisunzi au kizunguzungu , kujisikia mnyonge, hasa wakati wa asubuhi. Wazungu wanasema ni Morning sickness.
Wataalam wanasema haina sababu moja. Lakini wanakubali kuwa husababishwa na ongezeko la homoni hasa ya Estrogen katika mwili wa mwanamkea ambayo inaweza kumuongezea , uwezo wa kusikia harufu hasa mbaya. Kuongezeka kwa maji aina ya gastroline.

Na unafahamu kuwa mwanamume.Baba mwenye nyumba pia anaweza kuwa na dalili hizo hizo za ujauzito yaani ?, kizunguzungu,kutapika , kichef chefu , tumbo kufura na kuwa na hasira kama mkewe?
Kwa wakati huu Mike Dowdall , bwana mwenye umri wa miaka 25 kutoka Manchester Uingereza amefura tumbo, anatapika tapika , asubuhi, husikia kisunzi au kizunguzungu na anapenda kula vitu vichachu kama maembe mabichi yalitiwa chumvi au pilipili.

Kwa wakati huu mpenzi wake Amanda Bennett ni mjamzito. Dahili za Mike zilipoanza bi Amanada alichukulia kwamba mpenzi wake ambaye wameishia naye miaka mitatu anamfanyia mzaha au stihizai Eti anamuiga vile anavyo tapika, na kupenda kula kula.

Lakini madaktari kutoka Manchster wanasema Bwana Mike ana ugonjwa wa mimba bandia. Wao wanaita Couvade syndrome
huu sio uchawi , bali ni ugonjwa unaoweza kuwapata wanaume. Tumbo kufura, kutapika tapika asubuhi, kuhisi kizunguzungu na kupenda kula maembe ya liotiwa chumvi au pilipili.
Mike amekuwa na uja uzito bandia kwa wiki 33 na kama vile tu akina mama walio na mimba , Mike ameongeza uzani au zaidi ya kila 3 na sasa anajihisi mchovu kila mara, kuumwa na mgongo na kwnda haja ndogo kila mara.

Madaktari hao wanasema ugonjwa huu unaweza kusababishwa na ile hali kuwa wasiwasi unaposubiri mkeo kujifungua, au pia kuwa karibu sana na mkeo.
Bi Amanda ambaye ana mimba ya wiki zaidi ya 34 sasa analazimika kumsugua mumewe mgongoni na kiunoni kila siku na kumkanda tumbo lake.

Chanzo: BBC
 

RIHANA NA CHRIS BROWN BADO NI WAPENZI! WAONEKANA NIGHT CLUB KTK MAPOZI YA KIMAHABA

comments
Chris BrownUle usemi uaemao mapenzi ya mjini hua hayaishi unaendela kudhirika kwa wasanii mahiri nchini marekani Chriss Brown pamoja na Mwana dada Rihana baada siku ya 3/10/2012 usiku walipokuwa live wakijiachia katika klabu moja ya usiku unayokwenda kwa jina la New York's Griffi.

Kwa mujibu wa taarifa hizi mtu mzima Chriss brown alikuwa na  Bow Wow ambapo walikaa meza moja na mwanadada huyo mwenye miaka 24 na kuendelea kula bata mpaka kuku aone wivu.

Imedaiwa kuwa mara baada ya kutosheka kula bata katika klabu hiyo alianza kuondoka mtu mzima Chriss Brown majira ya saa tisa na nusu usiku mnene na badae Rihana pia akajikataa.

Ukweli ni kwamba mwanadada huyo alishawai kusema wakati alipokuwa akifanya mahojiaho na Oprah katika kipindi cha Tv Kuwa bado anampenda Chriss.


Rihana

MTANDAO WA FACE BOOK MPAKA SASA UMEWAUNGANISHA WATU ZAIDI YA BILIONI MOJA DUNIANI

comments
Mwanzilishi wa Mtandano wa FaceBook ameweka wazi jinsi idadi ya watumiaji wa mtandao huo inavyoongezeka kila kukicha na kufurahishwa kuunganisha idadi hiyo kubwa ya watu duniani ambapo amesema:

 The social networking giant said it hit the milestone on the afternoon of September 14.
At the end of June, it had notched up 955 million monthly users.
Founder Mark Zuckerberg yesterday posted his thanks to fans of the global site that he started up in a Harvard University dorm just eight years ago.
He said: “If you’re reading this: thank you for giving me and my little team the honor of serving you.

Helping a billion people connect is amazing, humbling and by far the thing I am most proud of in my life.
“I am committed to working every day to make Facebook better for you, and hopefully together one day we will be able to connect the rest of the world too.”

Almost 30 per cent of Europeans use Facebook as do 45 per cent of North Americans.
It reached the 25 million user milestone in January 2006 - when the average age of each Facebook account holder was 19. Today the average age is 22.
The countries with most Facebook users are the USA, Brazil, India, Indonesia and Mexico
Chanzo: The sun

USALITI WA MAPENZI WASABABISHA MWANAUME KUKATWA NYETI

comments


 Hudaiwa kuwa hakuna mtu mwenye hasira kali kama mwanamke anayegundua kuwa mumewe ana kimada nje, hayo yalijidhihirisha nchini Peru pale mwanamke mmoja nchini humo alipoukata uume wa mumewe wakati akiwa amelala na kisha kuutupa uume huo chooni. Mwanamama Huaman Julia Muñoz mwenye umri wa miaka 41 anashikiliwa na polisi baada ya kulipiza kisasi cha mumewe kutembea na kimada nje kwa kuukata uume wake.

Julia alienda na mumewe hotelini kwenye mji wa Brena nchini Peru na wakati mumewe akiwa amepitiwa na usingizi, Julia alitumia kisu kikali cha jikoni kuukata uume wa mumewe na kisha alikichukua kipande cha uume huo na kukitupa chooni na kukiflash.

Haijajulikana kama Julia alimwekea kilevi kilichomlalaza mumewe fofofo kabla ya kutimiza lengo lake hilo la kuyanyofoa maeneo ya kujidai ya mumewe.

Julia alijaribu kukimbia kutoka kwenye hoteli hiyo lakini kelele za mumewe zilifanya wahudumu wa hoteli hiyo wamkamate na kumfikisha polisi.

Julia alikiri mbele ya polisi kuwa aligundua kuwa mumewe alikuwa akimsaliti kwa kutembea na mwanamke mwingine nje na hasira alizokuwa nazo ndizo zilizopelekea achukue uamuzi huo wa kuukata uume wa mumewe.

Julia anashikiliwa na polisi wakati mumewe amelazwa hospitali kwenye chumba cha watu mahututi hali yake ikiwa mbaya sana.

Hii sio mara ya kwanza tukio kama hili kutokea duniani, mwezi mei mwaka jana, mwanamke mmoja wa nchini Bangladesh aliukata uume wa mwanaume aliyekuwa akijaribu kumbaka na kisha kukichukua kipande cha uume huo na kukipeleka polisi kama ushahidi.

Kesi inayojulikana sana ni ile ya mwezi julai mwaka jana nchini Marekani ambapo Catherine Kieu wa California, alimdanganya mumewe kuwa anataka kujaribu staili tofauti ya mapenzi na kisha kuifunga mikono na miguu ya mumewe kwenye kitanda kabla ya kuukata uume wake kwa kutumia kisu kikubwa chenye ncha kali.

Kama haitoshi, mwanamke huyo ili kuhakikisha madaktari hawataweza kukiunganisha kipande hicho alikichukua kipande hicho cha uume wa mumewe na kukisaga kwenye mashine ya kusaga taka za majumbani.

Catherine alikamatwa na kutupwa jela ambapo kesi yake inaendelea akiwa jela baada ya kushindwa kulipa dhamana ya dola milioni moja. Mumewe alifariki dunia kufuatia shambulio hilo.


Chanzo: nifahamishe