RIHANA NA CHRIS BROWN BADO NI WAPENZI! WAONEKANA NIGHT CLUB KTK MAPOZI YA KIMAHABA

Chris Brown







Ule usemi uaemao mapenzi ya mjini hua hayaishi unaendela kudhirika kwa wasanii mahiri nchini marekani Chriss Brown pamoja na Mwana dada Rihana baada siku ya 3/10/2012 usiku walipokuwa live wakijiachia katika klabu moja ya usiku unayokwenda kwa jina la New York's Griffi.

Kwa mujibu wa taarifa hizi mtu mzima Chriss brown alikuwa na  Bow Wow ambapo walikaa meza moja na mwanadada huyo mwenye miaka 24 na kuendelea kula bata mpaka kuku aone wivu.

Imedaiwa kuwa mara baada ya kutosheka kula bata katika klabu hiyo alianza kuondoka mtu mzima Chriss Brown majira ya saa tisa na nusu usiku mnene na badae Rihana pia akajikataa.

Ukweli ni kwamba mwanadada huyo alishawai kusema wakati alipokuwa akifanya mahojiaho na Oprah katika kipindi cha Tv Kuwa bado anampenda Chriss.


Rihana

Comments

Popular posts from this blog

KATI YA KUKU NA YAI KIPI KILITANGULIA?

NGUO ZA NDANI ZINAZOBANA KWA WANAUME ZINAATHIRI UWEZO WA MBEGU ZA KIUME KUWEZA KUTUNGA MIMBA

TOZI GAMBA AFUNIKA SHOW YAKE NA THE TRACK MASTERS DJS BWALO LA POLISI MWISENGE SIKU YA CHRISTMAS