Posts

Showing posts from August, 2012

Real madrid yaitandika Bacelona 2-1 Bacelona katika Super Cup

Image
                                                      KIKOSI CHA MADRID Real Madrid overturned a 3-2 first leg deficit against rivals Barcelona to win the Spanish Super Cup on away goals. Real capitalised on two blunders to quickly go 2-0 up in the second leg at the Bernabeu, with Gonzalo Higuain and Cristiano Ronaldo firing in. Barcelona had Adriano red-carded for hauling down Ronaldo but the visitors pulled one back through a superb 35-yard Lionel Messi free-kick. The 2-1 second-leg win levelled the tie at 4-4, with away goals decisive. The result meant Tito Vilanova was denied his first trophy as Barcelona boss and he will need to look no further than his lacklustre defence for the reason. He had warned his side that Jose Mourinho's Real Madrid outfit would have extra motivation, because not only were they chasing the first silverware of the Spanish season, they were also looking for their first win of

Ashindwa Kutongoza Mademu, Ajaribu Kumbaka Bibi Yake

Image
Kijana mwenye umri wa miaka 20 wa nchini Marekani ambaye alikuwa akilalamika kuwa anashindwa kumwaga sera za kuwavutia mabinti, aliamua kumpiga nyundo ya kichwa bibi yake ili apunguze haja zake za kimapenzi. Samuel Dye alimfuata bibi yake na kuanza kulalamika kuwa ameshindwa kabisa kutongoza wanawake hivyo ameshindwa kupata mpenzi. Taarifa za polisi zinasema kuwa Samuel baada ya kutoa malalamiko yake kwa bibi yake mzaa baba yake, alimuambia kuwa lakini ukame wake wa mapenzi angeumaliza siku hiyo kwake yeye. Samule alishusha nguzo zake na kumuonyesha bibi yake nyeti zake kabla ya kumpiga nyundo ya kichwa ili aweze kutimiza azma yake ya kumaliza ukame wa mapenzi. Taarifa zaidi zilisema kuwa Samuel alizuiliwa na baba yake asimbake bibi yake baada ya baba yake kusikia kelele za mama yake mwenye umri wa miaka 61 akiomba msaada baada ya kupigwa nyundo ya kichwa. Baba mtu alimkuta mwanae akiwa ameshusha

Aliyefunga Ndoa na Mama Yake Anena ´ Mapenzi Anayonipa Mama Sijawahi Kupata, Msiingilie Mapenzi Yetu´

Image
Mama aliyefunga ndoa na mwanae wa kumzaa wa kiume baada ya mumewe ambaye ndiye baba wa mtoto huyo kufariki amesema anawashangaa wanadamu kuingilia mapenzi yao huku mwanae akiwauliza watu mnatutakia nini kwenye mapenzi yetu? akiongeza kuwa mapenzi anayopata kwa mama yake hajawahi kuyapata. Bi Condorada Ngonyani mwenye umri wa miaka 70 ambaye alifunga ndoa na mwanae wa kiume ameibuka na kusema anawashangaa watu wanaowasimanga kwa mapenzi yao moto moto kati yake na mwanae huyo wa kiume Bw. Joseph Mapunda. Mama huyo na mwanae waliwekwa kitimoto na wanakijiji waliohoji mapenzi hayo haramu kati ya mama na mwanae. Tukio hilo la kuwaanika hadharani mama na mwanae liliandaliwa uongozi wa serikali ya mitaa. Mama Condorada Ngonyani (70) mkazi wa mkoani Ruvuma, aliamua kufunga ndoa na mtoto wake wa tatu wa kiume wa kumzaa na kisha kuishi naye kinyumba kama mke na mu

BoT yaipandisha hadhi benki ya DCB

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeitunuku benki ya DCB leseni ya kuipandisha hadhi kuwa ya kibaiashara hivyo kuipa fursa ya kuhudumia wafanyabiashara wadogo na wakubwa nchi nzima. Kabla ya kutunukiwa hadhi hiyo jana, DCB ilikuwa ikihudumia wafanyabiashara wadogo wadogo wa mkoa wa Dar es Salaam tu. "Leo hii napenda kuujulisha umma wa Tanzania kuwa BOT imetoa rasmi leseni mpya kwa benki hii (DCB) na hivyo kuifanya rasmi kuwa benki ya biashara," alisema Balozi Paul Rupia, Mwenyekiti wa Bodi ya DCB, wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Kutokana na hatua hiyo, Rupia alisema kwa sasa wanajiandaa na mchakato wa kufungua matawi nchi nzima. Pamoja na kupandishwa hadhi, Rupia aliwatoa wasiwasi wajasiriamali kuwa wasihofu kuwa DCB itawatupa bali imeongeza nguvu ya kuweza kuwahudumia. "Dira na dhima ya benki hii itakuwa ni ile ile, zaidi itaongeza wigo mkubwa kwa wateja wetu Tanzania nzima," alisema Balozi Rupia. Alisema DCB ilianzishwa mwaka 20

ADAI WENGINE NI WAZOEFU WA KUONGOZA KUMBI ZA MUZIKI, ATAMBA CCM KINA ZAIDI YA WATU 20 WENYE SIFA ZA URAIS, ZITTO AMJIBU

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM, Samuel Sitta amekiponda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akidai kuwa muda wake wa kutawala nchi bado, kwa kuwa hakina viongozi wa kutosha wa kufanya kazi za Serikali ukimwondoa Katibu Mkuu wake, Dk Willibrod Slaa.Habari zaidi ingia www.mwananchi.co.tz

C-sir Madini Kuachia ngoma Mwezi ujao

Image
Msanii wa Miondoko ya Mziki wa kizazi kipya C-Sir Madini kutoka Mwenye maskani yake Jijini mwanza mwezi ujao anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Pain Killer. Madini amesema kuwa wimmbo huo tayari umekwisha kamilika na amerekodi katika studio za tetemesha record chini ya mtayarishaji wake Kid Bwoy ambae ndie mtayarishaji wake toka anaanza kuimba jijini mwanza. Amesema kwa sasa studio za tetemesha ziko jijini dar es salaam ambapo amesema mashabiki wake wakae tayari kuupokea wimbo huo ambao hivi sasa amekamilisha kurekodi video yake chini ya Adam Juma wa Next level. C-Sir madini ni moja ya wasanii wanaofanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya toka mwanza aambo wamesaidiwa kwa kiasi kikubwa na mmiliki na mtayarishaji wa studio ya tetemesha kurekodi nyimbo kali akiwa na wasanii wengine ni Hussein Machozi, Sajna na wengine wengi. Wasanii wengine wanaotokea mwanza ambao wanafanya vizuri katika mziki wa bongo Fleva ni pamoja na H-Baba, Fid Q pamoja na har

MWANAMKE ALIYEFANYIWA UKATILI WA KUTISHA BAADA YA KUMUACHA MCHUMBA WAKE

Image
Jamani ukatili huu utaisha lini kwa habari zaidi kuhusu habari hii tembelea www.wanawakelive.blogspot.com www.wanawakelive.blogspot.com
Image
Kwa habari zaidi Tembelea www.djchoka.blogspot.com

KARUME STADIUM SERENGETI FIESTA MUSOMA BHAAAAS!

Image
Tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya musoma Linatarajia kufanyika kesho siku ya ijumaa ndani ya uwanja wa karume kuanzia saa 12 kamili jioni. Tamasha hilo linaloratibiwa na kampuni ya Prime Time Promotion ya jijini dar es salaam linafanyika kila mwaka katika mikoa tofauti hapa nchini Tanzania kwa kuwashirikisha wasanii wa ndani nje ya nchi kwa lengo la kutoa burudani na kuelimisha jamii husani vijana juu ya mambo mbalimbali. Wakiongea na blog hii kwa nyakati tofauti vijana wa musoma wamesema wanasema wanasubiria kwa hamu kuona baadhi ya wanasinii kama vila Ney wa Mitego, Bi Cheka, Mh temba na wengine wengi ambao wanafanya vizuri sana katika anga ya muziki wa bongo Fleva. Kingilio katika tamasha hilo ni shilingi Elfu tano  huku Kinywaji cha Bia ya Serengeti Lager na vinywaji vya kampuni hiyo ndio vitauzwa ndani ya uwanja huo wakiwa ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo.
Image