Posts

Showing posts from October, 2012

JESHI LA POLISI MKOANI MARA LINAWASHIKILIA WATU WATATU KWA TUHUMA YA KUMILIKI SILAHA KINYUME NA SHERIA

Image
                     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Kamishina Msaidizi Absalom Mwakyoma Watu watatu wakazi wa kijiji cha motukeri katika wilaya ya Serengeti Mkoani Mara,akiwemo raia wa nchi ya Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi   kwa tuhuma za kukamatwa na bunduki aina ya smg Fn na risasi 96 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara   kamishina msaidizi   Absalom mwakyoma amethibitisha kukamatwa kwa watu hao ambao amewataja   kuwa ni   sabasaba makuru kambarage (31),Timothy Bernad omoke (20) raia wa Kenya na pius mayengo sengeka( 43) wote wakiwa wakazi wa kijiji hicho kilicho kata ya nata wilayani Serengeti. Kamanda Mwakyoma amesema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa octoba 23   majira ya saa mbili na nusu usiku mwaka huu katika kitongoji cha mageriga nyumbani kwa mtuhumiwa wa kwanza sabasaba wakimiliki silaha hiyo ya kivita   kinyume cha sheria Amesema kuwa Maafisa wa polisi wakishirikiana na maafisa wa shirika la hifadhi Taifa (TANAPA)siku ya tukio baada
Image
Sitabai Chouan akiwa Hospitali  Mwanaume mmoja wa nchini India ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa aliutoboa uke wa mkewe na kuufunga kwa kufuli kila alipokuwa akimuacha peke yake huku funguo za kufuli hilo akitembea nazo akiwa amezificha kwenye soksi anazovaa.   Kwa miaka minne iliyopita, Sohanlal Chouhan, mwanaume mwenye umri wa miaka 38 wa Indore, India alikuwa akiufunga kwa kufuli uke wa mkewe kila alipokuwa akienda kazini ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa. Kwa mujibu wa polisi, uchunguzi wa polisi ulianzishwa mwezi julai mwaka huu wakati mke wa Sohanlal aliyejulikana kwa jina la Sitabai Chouhan, alipowahishwa hospitali ili kuokoa maisha yake kufuatia jaribio lake la kujiua kwa kunywa sumu ya panya. Madaktari walikuwa wanajiandaa kuingiza mrija kwenye sehemu za siri za Sitabai ili kusaidia kunyonya sumu ya panya toka kwenye mwili wake wakati walipogundua kuwa uke wake ulikuwa umefungwa kwa kufuli. Iligundulika kuwa Sohanlal Chouhan alianza kuliweka kufu

CHADEMA YATAKA MFUMO WA SHERIA KUSIMAMIA MABADILIKO

Image
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema wakati umefika kwa nchi kuwa na mfumo wa kikatiba na sheria kwa ajili ya kusimamia mabadiliko kufanyika kwa amani ili kuepusha nchi kuingia katika vurugu na mkanganyiko wa kisiasa. Mbowe alisema hayo jana wakati akizungumza na wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya uchaguzi mdogo kata za Mpapa, wilayani Momba na Myovizi, Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya. Mbowe alisema ingawa utaratibu huo unaweza kuonekana kuwa ni dhana mpya kutokana na umuhimu wake kwa ajili ya mustakabali mwema wa Taifa, ni vyema Watanzania wakaanza kuitafakari kisha wadai kuwepo kwa mfumo huo wa kikatiba na sheria. Alitoa mfano nchi ya Ghana ilipitia katika misukosuko ya kisisasa kutoka utawala wa Jerry Lawrings kwenda kwa Kuffour wa chama cha NPP. “Wenzetu wale walijifunza, walipoingia madarakani wakaamua kutunga sheria ya kusimamia ‘transition period’ kutoka uongozi wa serikali moja kwenda nyingine

YAFAHAMU MAMBO 10 AMBAYO MSICHANA HAPENDI KUTENDEWA NA MPENZI WAKE

Image
Me end U 1. When she sees her boyfriend talking to othr girls.. and the girl starts flirting...! 2. when her boyfriend n her r txting/instant messaging n the guy doesnt txt her/msg her back fast enough...! 3. when her boyfriend has the same class as her n he ignores her n hangs out with othr friends...! 4. when she sees her boyfriend checking out othr girls while she's with him...! 5. when she has to wait outside the movie theaters looking like a loner while she waits for her boyfriend that's 20 minutes late...! 6. when her boyfriend acts like hes going to break up with her... he doesnt even have to act... its a vibe...! 7. when she holds her hand out for her boyfriend to hold, and he just keeps walking...! 8. when her boyfriend acts like he is going to get her something special n he was jst suggesting something... so she has to buy it herself...! 9. when her boyfriend does not care abt her 1 week, 1 month, 1 year anniversary. n evrything in betwe

ZIFAHAMU NJIA ZA KUPATA MTAJI WA BIASHARA

Njia za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yako. Swali, wapi utapata huo mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji wa biashara. Mali binafsi Shamba, fedha, nyumba, gari, mifugo, mazao nk Mkopo:- Mkopo kutoka kwa: Marafiki, ndugu, jamaa, serikali Taasisi za kukopesha kama pride, seda, faida, best, finca Benki nk. a) Masharti ya mkopo - Dhamana kama vile nyumba, arthi, mazao, kikundi n.k. - Mchanganuo wa biashara - Biashara inayo endelea(<miaka 3) - Kuwepo kwa ofisi kama ni mkopo mkubwa zaidi ya milioni 3 - Biashara iliyosajiliwa kam ni biashara kubwa - Riba ya mkopo - Kiasi cha mkopo na uwezo wa mkopo - Muda wa kurudisha mkopo na riba Vyanzo vya kukopa mabenki, mashirika binafsi Kama vile SEDA, PRIDE, FINCA n.k Kibati ; mfano, Mtaji ni unaotakiwa

MWANAUME MMOJA WILAYANI BUNDA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA YA KUMTOROSHA MWANAFUNZI NA KUMZALISHA WATOTO WAWILI

MWANAUME mmoja anayetuhumiwa kutorosha mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibara, iliyoko wilayani Bunda, mkoani Mara, kwa zaidi ya miaka mitatu, amekamatwa na kufikishwa katika mahakama ya wilaya ya Bunda, akiwa tayari amekwishamzalisha mwanafunzi huyo watoto wawili. Mwanaume huyo Joel Joseph, amekamtwa juzi mjini Musoma, wakati akiwa ndani ya daradara baada ya kuwekea mtego na mzazi wa mwanafunzi huyo, mwalimu Eward Masatu. Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumtorosha mwanafunzi huyo aitwaye Nyafwele Edward au Edina Edward, aliyekuwa anasoma kidato cha tatu katika shule ya sekondari Kibara, na kuishi naye kama mke wake, tangu mwaka 2009. Imeelezwa kuwa Novemba 18, 2009 mtuhumiwa pamoja na mwanafunzi huyo, wote walikamatwa na kufikishwa katika kituo kidogo cha polisi Kibara, lakini kesho yake wakatoroka katika mazingira ya kutatanisha na kwamba walikuwa wakiishi katika miji mbalimbali ikiwemo Musoma, Tarime, Mwanza na Kahama. Mwalimu Masatu amesema kuwa kukamatwa kwa mtuhumiwa h

UMUHIMU WA KUANDAA BAJETI KWA MTU, KAYA, FAMILIA, SERIKALI MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI

Ni jambo la kawaida kwa watanzania kutojua umuhimu wa bajeti katika maisha yetu ya kila siku, na tunashindwa kujioji kama mapato yetu yanaendana na matumizi hata katika ngazi ya kaya au familia au mtu mmoja mmoja. Katika hali ya kawaida tumekuwa na matumizi makubwa kuliko kipato tunachokipata na hii inatokana na ukweli kwamba watu wengi hawazingatii bajeti wanafikiri bajeti ni kwa ajili ya serikali, makampuni na taasisi wakisahau kuwa mtu anaweza kujiwekea bajeti katika maisha yao ya kila siku. Leo katika ujasiliamali nahitaji ufahamu kuna umuhimu gani wa kutengeneza bajeti kuanzia ngazi ya mtu, kaya au familia, makampuni makubwa, serikali pamoja na taasisi. Bajeti: Ni mpango unaonyesha kiasi cha pesa, rasilimali kinachopangiliwa kwa ajili ya kutumika.Kuna aina mbalimbali za bajeti ambazo zinatofautiana kwa tafasiri na utekelezaji. Ili mtu au taasisi pamoja na serikali iweze kufanikiwa katika maisha ni lazima kutengeneza na kufuata kanuni na kuzingatia mipango utakayoainisha ka

MREMBO KUTOKA MARA ATINGA FAINALI ZA REDD'S MISS TANZANIA

Image
 Mkoa wa Mara umeendelea Kufanya vyema katika mashindano ya ulimbwende mwaka huu baada ya mwakilishi wa mkoa kufanya vyema tena na kuingia katika fainali zashindano la Urembo la Redd's Miss Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa toka kwa bwana Godsos Mukama ambaye ndie mwandaji wa shindano la Miss Mara kupitia kampuni yake ya Homeland Entertainment amesema mrembo kutoka Mkoani Mara ambaye pia anashikilia Taji la Urembo Kanda ya Ziwa (Miss Lake Zone) amefanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye Fainali za Shindano la Urembo (Redd's Miss Tanzania) Baada ya kuteuliwa kuwa Balozi Naura Spring Hotel   katika Shindano dogo la kumtafuta Top Model lililofanyika usiku wa siku ya Jumamosi Jijini Arusha katika Hotel ya Naura Spring. Eugenia pia ni Balozi wa Barrick North Mara Kampuni inayojishughulisha na Uchimbaji wa Dhahabu Mkoani Mara.         Huyu ndie Bwana Godsos Mukama ambaye kwa miaka yote amekua akiandaa mashindano ya Miss Mara na kuwatoa washiriki mpaka ngaz

BIBI WA MIAKA 92 ANA MIMBA YA TANGIA MWAKA 1948 MPAKA LEO

Image
Bibi Huang akionyesha Mimba yake Bibi wa miaka 92 ambaye alipata mimba wakati wa ujana wake miaka 60 iliyopita anaingia leba kwaajili ya kujifungua mtoto huyo baada ya miaka yote hiyo kupita. Huang Yijun hivi sasa akiwa na umri wa miaka 92 alienda hospitali baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo ndipo tatizo lake lilipowaacha madaktari midomo wazi. Daktari aliyemfanyia uchunguzi bibi huyo alipigwa na butwaa baada kugundua kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 92 alikuwa ana mimba. Huang alizidi kumpagawisha daktari huyo baada ya kutoa maelezo ya mimba hiyo. Huang alisema kuwa mwaka 1948 alipokuwa na ujauzito mtoto wake alifia tumboni. Baada ya kutakiwa atoe dola 150 na hospitali aliyopelekwa ili kukitoa kiumbe hicho tumboni, Huang alikataa kutoa kiasi hicho cha fedha na kuamua kurudi nyumbani kwake. Kwa kupuuzia kutoa kiumbe hicho alichokuwa nacho tumboni Huang alinyamaza kimya bila kuwaambia ndugu zake kwa miaka yote hiyo. Ukweli wa mambo umekuja kujulikana baada y

Mfahamu Mwalimu Mlemavu wa Mikono Anayefundisha Kwa Kutumia Miguu

Image
Mwalimu Akitumia Mguu Kuandika Mwanamke wa nchini Marekani ambaye alizaliwa akiwa hana mikono ameonyesha changamoto kwa watu kwasababu ya vilema vyao hawawezi kufanya chochote kwa kuweza kuajiriwa kazi ya ualimu akifundisha wanafunzi kwa kuandika ubaoni kwa kutumia miguu yake. Mary Gannon, amejiriwa kama mwalimu wa shule ya msingi kwenye shule ya Lakewood iliyopo Ohio nchini Marekani. Tofauti na walimu wenzake, Mary anatumia miguu kuandika ubaoni na pia anatumia miguu kuandaa ripoti kwenye computer akitumia vidole vya miguu yake kuandika kwa kutumia keyboard ya kompyuta yake ya ofisini. Mwalimu Mary ambaye hufundisha somo la hisabati na sayansi alizaliwa nchini Mexico akiwa hana mikono na alilewa kwenye kituo cha kulea yatima mpaka familia moja ya nchini Marekani ilipojitolea kumchukua na kumlea. Mary alianza kazi kwenye shule hiyo mwaka jana kama mwalimu wa akiba lakini hivi sasa amejiriwa kabisa akifundisha wanafunzi wa darasa la saba na la nane, Mbali ya kutumi
Image
Je Unahitaji Kuwa Mjasiliamali Yafahamu Maswala saba unayostahili kufahamu kabla ya kuanza biashara Yako Uza kile wateja wako wanataka:   Usiangazie tu kile unachotaka. Usipotafakari kuhusu wateja wako,kuna uweza wa kutonunua bidhaa yako. Hakikisha unatafiti soko ili kujua kama huduma au bidhaa yako ni ya maana na nafuu kwa uwezo wa wateja. Andika mpango wa biashara:  Hii ni njia moja ya kuwavutia wawekezaji na watoa huduma za kifedha kwa biashara yako. Mpango mzuri wa biashara pia hukusaidia kuweka rekodi zilizo na maelezo zaidi kuhusu ruwaza na malengo yako. Andikda mpango wa biashara. Uujue uwezo wako:  Angazia sana sana yale unayoyafanya vizuri na uwache mengine. Hustahili kujua majibu yote wala kukusanya maswala yote .Kuwa mwaminifu kwa yale unayoweza kutekeleza na yale usiyomudu kutekeleza. Kumbuka, ni vizuri kuomba msaada iwapo hujui kitu Fulani. Fanya utafiti wako:   Tumia madarasa, hafla au semina, vitabu na kanda ili kujifunza yale
Image
Uwanja wa ndege Mwanza KIKAO Cha Kamati ya Ushauri  ya Mkoa wa Mara imeutaka Mkoa wa Mwanza kuacha kabisa  mchakato wa kubadilisha jina la Uwanja wa Ndege wa Mwanza na Kuitwa jina la Serengeti International Airport. Mjadala huo uliibuka hivi karibuni katika kikao cha kamati ya Ushauri ya Mkoa huo ambapo lilijadiliwa na kutaka kuita jina hilo katika uwanja wao wa ndege wa kimataifa wa mkoa huo. Baada ya kupata taarifa hiyo wajumbe wa kikao hicho waliamaki na kwa sauti moja wameutaka mkoa wa Mwanza kuacha mara moja nia ya kulitumia jina hilo na kuwataka watumie majina mengine kama vile la Victoria au sangara. Kauli hiyo ilipitishwa na wajumbe wa Kikao cha Ushauri wa Mkoa huo baada ya kupitia taarifa ya ujenzi wa Uwanja wa Kisasa kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Kimulika Galikunga ambapo alisema kuwa Halmashauri hiyo imeshampata mwekezaji ambaye atajenga uwanja huo na kutumia jina hilo. “Tayari tumempata mmoja wa wawekezaji ambaye ni wa k

JINSI YA KUPATA MTAJI NA NAMNA YA KUTUMIA MTAJI KATIKA BIASHARA

  JINSI YA KUPATA MTAJI NA NAMNA YA KUTUMIA MTAJI KATIKA BIASHARA MTAJI Mtaji ni kitu chochote ambacho unaweza kutumia katika kuzalisha kitu kingine kwa lengo la kupata faida.Biashara oyote iwayo lazima ianze na mtaji. Kuna aina tano za mitaji kama ifuatavyo:- 1. Mtaji wa fedha( financial capital) 2. binadamu mwenyewe( human capital) vitu kama ujuzi, elimu na kufanya kazi kwa bidii. 3. Jamii ( social network capital) ushirikiano na watu wengine katika biashara 4. utamaduni halisi wa mjasiliamali- utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii,historia ya familia 5. fani au utaalamu  katika jambo flani JINSI YA KUPATA MTAJI. hapa tunaangalia vyanzo vya mtaji kwa mjasiliamali. Wajasiliamali wengi wanapata changamoto kubwa katika kupata mitaji ya kuanzishia biashara. nivigumu kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji wa kutosha,hivyo basi mtaji ni muhimu sana lakini mtaji pekeyake hautoshi kuanzisha biashara ni lazima uwe na elimu ya ujasiliamali ili uweze kufaniki

SABABU 5 AMBAZO ZINAFANYA USIFIKIRIE KUOA AU KUOLEWA

Image
Zawadi kwa wapendanao muhimu Why you’re single 1: You have an unrealistic checklist If your list of favourable traits is more than a couple of points long, it might be time to start editing it. A tall, dark, handsome man who loves washing up and never forgets an anniversary? A lady with blonde hair and blue eyes who loves watching football games and cooking dinner every evening? Good luck with that. If you don’t want a smoker or someone with children, that’s fine – decide on these absolute non-negotiables, but then overlook the ‘not-too-sure-about-this-but-could-probably-live-with-it’ points. When searching for your idea of a perfect partner, there’s a good chance that you’re bypassing many wonderful potential partners who probably have special qualities that you’d never even thought of adding to your list before. Why you’re single 2: You reveal too much, too soon Of course dates are all about sharing information about yourself and getting to know each other, bu

AUKUMIWA KWENDA JELA WIKI 12 BAADA YA KUTUMA COMMENT KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK

A man has been jailed for 12 weeks for making grossly offensive comments on his Facebook page about missing youngster April Jones. Matthew Woods, 19, from Chorley, Lancashire, made a number of derogatory posts about April and missing Madeline McCann after getting the idea from Sickipedia - a website that "trades in sick jokes". He also wrote comments of a sexually explicit nature about the five-year-old, who went missing last week from near her home in Machynlleth, mid Wales. Chorley Magistrates' Court heard members of the public were so upset about his postings that they reported them to the police. A "vigilante mob" of around 50 people later descended upon his home address in Eaves Lane and the defendant was arrested on Saturday night at a separate address for his own safety. Martina Jay, prosecuting, said: "When interviewed by police he fully admitted he posted messages about the two missing children. "He started thi

MWANAUME ANAWEZA KUWA NA DALILI SAWA NA MWANAMKE MJAMZITO MPAKA MWANAMKE ATAKAPOJIFUNGUA

Image
Mwanamke mwenye Mimba Ni kawaida kwa wanawake wengi wakati wa ujazito kuanza kutapika , kuwa ni kichefu chefu ,kuhisi kisunzi au kizunguzungu , kujisikia mnyonge, hasa wakati wa asubuhi. Wazungu wanasema ni Morning sickness. Wataalam wanasema haina sababu moja. Lakini wanakubali kuwa husababishwa na ongezeko la homoni hasa ya Estrogen katika mwili wa mwanamkea ambayo inaweza kumuongezea , uwezo wa kusikia harufu hasa mbaya. Kuongezeka kwa maji aina ya gastroline. Na unafahamu kuwa mwanamume.Baba mwenye nyumba pia anaweza kuwa na dalili hizo hizo za ujauzito yaani ?, kizunguzungu,kutapika , kichef chefu , tumbo kufura na kuwa na hasira kama mkewe? Kwa wakati huu Mike Dowdall , bwana mwenye umri wa miaka 25 kutoka Manchester Uingereza amefura tumbo, anatapika tapika , asubuhi, husikia kisunzi au kizunguzungu na anapenda kula vitu vichachu kama maembe mabichi yalitiwa chumvi au pilipili.

RIHANA NA CHRIS BROWN BADO NI WAPENZI! WAONEKANA NIGHT CLUB KTK MAPOZI YA KIMAHABA

Image
Chris Brown Ule usemi uaemao mapenzi ya mjini hua hayaishi unaendela kudhirika kwa wasanii mahiri nchini marekani Chriss Brown pamoja na Mwana dada Rihana baada siku ya 3/10/2012 usiku walipokuwa live wakijiachia katika klabu moja ya usiku unayokwenda kwa jina la New York's Griffi. Kwa mujibu wa taarifa hizi mtu mzima Chriss brown alikuwa na  Bow Wow ambapo walikaa meza moja na mwanadada huyo mwenye miaka 24 na kuendelea kula bata mpaka kuku aone wivu. Imedaiwa kuwa mara baada ya kutosheka kula bata katika klabu hiyo alianza kuondoka mtu mzima Chriss Brown majira ya saa tisa na nusu usiku mnene na badae Rihana pia akajikataa. Ukweli ni kwamba mwanadada huyo alishawai kusema wakati alipokuwa akifanya mahojiaho na Oprah katika kipindi cha Tv Kuwa bado anampenda Chriss. Rihana

MTANDAO WA FACE BOOK MPAKA SASA UMEWAUNGANISHA WATU ZAIDI YA BILIONI MOJA DUNIANI

Mwanzilishi wa Mtandano wa FaceBook ameweka wazi jinsi idadi ya watumiaji wa mtandao huo inavyoongezeka kila kukicha na kufurahishwa kuunganisha idadi hiyo kubwa ya watu duniani ambapo amesema:  The social networking giant said it hit the milestone on the afternoon of September 14. At the end of June, it had notched up 955 million monthly users. Founder Mark Zuckerberg yesterday posted his thanks to fans of the global site that he started up in a Harvard University dorm just eight years ago. He said: “If you’re reading this: thank you for giving me and my little team the honor of serving you. Helping a billion people connect is amazing, humbling and by far the thing I am most proud of in my life. “I am committed to working every day to make Facebook better for you, and hopefully together one day we will be able to connect the rest of the world too.” Almost 30 per cent of Europeans use Facebook as do 45 per cent of North Americans. It reached the 25 million us

USALITI WA MAPENZI WASABABISHA MWANAUME KUKATWA NYETI

  Hudaiwa kuwa hakuna mtu mwenye hasira kali kama mwanamke anayegundua kuwa mumewe ana kimada nje, hayo yalijidhihirisha nchini Peru pale mwanamke mmoja nchini humo alipoukata uume wa mumewe wakati akiwa amelala na kisha kuutupa uume huo chooni. Mwanamama Huaman Julia Muñoz mwenye umri wa miaka 41 anashikiliwa na polisi baada ya kulipiza kisasi cha mumewe kutembea na kimada nje kwa kuukata uume wake. Julia alienda na mumewe hotelini kwenye mji wa Brena nchini Peru na wakati mumewe akiwa amepitiwa na usingizi, Julia alitumia kisu kikali cha jikoni kuukata uume wa mumewe na kisha alikichukua kipande cha uume huo na kukitupa chooni na kukiflash. Haijajulikana kama Julia alimwekea kilevi kilichomlalaza mumewe fofofo kabla ya kutimiza lengo lake hilo la kuyanyofoa maeneo ya kujidai ya mumewe. Julia alijaribu kukimbia kutoka kwenye hoteli hiyo lakini kelele